Kutomwezesha Mwenyezi


Unaposoma hiki kijikaratasi, unaweza kutikiri kwamba kichwa chake sio che kawaida, lakini unajua kwamba hata ingawa Mungu ni Mwenyezi, wewe binafsi unaweza kumzuia maishani mwako? Mungu ni, kwa kila mmoja, vile tunavyomfanya kuwa. Tunaweza kumfanya Mungu kuwa mkubwa maishani mwetu kwa Imani katika uwezo wake wa ajabu, mpaka kila kitu kiwezekane kwetu (Mk. 9:23). Kwa upande mwingine unaweza kumdunisha Mungu maishani mwake mpaka ufungwe na kila nguvu chafu Shetani anazo" kama Uoga, umasikini, ugonjwa ama mojawapo ya njia za uchafu anazotumia kwa watu (Waheb. 3:12).

Mojawapo ya kitu kikuu tunajotakiwa kujua kuhusu Shetani ni kwamba yeye ni adui aliyeshindwa kwa wakristo kama watatumia Imani yao. Biblia yasema kwamba umpinge shetani naye atatoroka kutoko kwako (Yak. 4:7). Yesu alimshinda shetani kalvari na akamwonyesha hadharani. Mandiko yanatwambia kwamba Kristo amemharibu (Shetani) aliyekuwa na uwezo wa mauti (Waheb. 2:14).

Hakuna mapepo kwa wakristo. Kuamini Shetani kuwa na nguvu ni kuwa na imani ya kinyume (kutoamini). Tunatakiwa kujua tumekufa kwo dhambi na magonjwa kwa mwili wa Yesu mtini na tuhai kwa utakatifu, afya na kutanikiwa katika Kristo, kwa ufufuo wa Yesu. Daima tukumbuke kwamba mtu wa ndani ameshatakaswa kwa neema, lakini mtu wainje haja tambua ukombozi wake, vile utukufu uko, ambao ndio wakindani (rohoni) unao adhimishwa kwa inje. Mtu wa ndani yuko mbiguni, amefichwa pamoja na Kristo katika Mungu, ambaye mbingu zimempokea mpaka wakati wa kunidisha wa kila kitu. Hii huonyesha mtu wa mje amekufa kutokana na mwili uliokufa wa Kristo, na kufanyika hai tena katika ufufuo na nwili unoishi wa Kristo. Kuna vita vinavyoendelea faina ya mtu wa ndani, aliye kombolewa, na mtu wainge, ambaye hajakubali ukombozi wake.

Hakuna chochote maishani mwetu kinachohusika na makosa kutuharibu kwasababu nia yetu kwa dhambi na kutenda mabaya imeshaondolewa, kwa hivyo tuko huru kutoka kwa dhambi. Mandiko yanasema kuwa yule ambaye amezahiwa na Mungu hawezi kutendo dhambi. Kumbuka hatukuwo na magonjwa mpaka dhambi ilipomgia katika maisha ya binadamu katina bustani ya Eden. Tongu hopo, mtu amekuwa mgonjwa, lakini, ikiwa sasa hatuwezi kutenda dhambi, basi ugonjwa umeshindwa na njia moja tu ya shetani kutufanya wagonjwa ni kupitia kwa kutoamini kwetu katika damu ya Kristo mayotakasa. Tusipoamini neno la ahadi la Mundu, basi yaliyotendeka msalabani ya agano hayatuhusu. Alisema kuwa wengi kati yenu ni wa wagonjwa na wengine wamekufa, kwasababu wamekosa kumbambanua mwil wa Kristo. Walimsuilia na kutoamini kwao ili Hakuwaza kutenda yale alitaka awatendee.

Unaona? Mungu alitaka kuwaponya na kuwabariki. Lakini, kwasababu ya matendu yao machafu, hukumu ikaja mioyoni mwao, na wakakatwa kutoka kwa bararaka za ufalme wa Mungu. Oh! Tazama vile Awa aliwekwainye ya vitu vizuri Vya Mungu. Alisema katika neno, “Maovu yako yamekutenga wewe na Mungu wako”. Alimbia Musa, “Oh, ili watu wangu watii maakiso yangu ili wafanikiwe wao na watoto wao Siku zote za maiflia yoo!” Alimwambia Ayub. Weka maakiso yangu, ili siku zake uishi katika baraka, afya, na ufanisi. Musa alifema uamwe kati ya baraka na Laana. Mwandishi mwingine alisema ili kuwa na maisha marefu na siku nzuri, tusiongoe maovu na tusinene mabaya. Mwandishi mwingine akaamuia, “Tengenezeni njia za miguu yenu, ili kilicholemaa kispinduluwe kutoka kwa njia, bali kiponyeshwe.”

Daudi anatuhimiza, mpariki Mungu. Oh, moyo wangu na usisahau baraka zake, Anayetusemehe maovu yako yote na Anayekuponyesha magonjwa yako yote. Tena, anasema, nilimtafuta Mungu na okanisikia na akanikomboa kutoka kwa hofu zangu zote. Biblia inasema Mungu ametupa kila kitu kinachohusi ka katika maisha" afya, furaha, ufanisi, na baroka. Paulo alisema, yote ni yenu nanyi ni wa Kristo na Kristo ni Mungu. Hallelujah! Msifu Mungu kwa Mwokozi huyu! Na tuamini pamoja fukimshukuru Mungu kwa kile ameshatupatia rohoni, na tukifurahie kwa kukiadhimisha muilini kwa Imani.

Imeandikwa na Rev. George Leon Pike Sr.

Yeye alianzisha “Jesus Christ’s Eternal Kingdom of Abundant Life, Inc.”

Utakatifu Kwake Mungu

Ujumbe huu umeandikwa kwa kupeana bure bila malipo yoyote. Kwa nakala zaidi andika kwa kingereza ikiwezekana kwa anwani iliyoko chini ukieleza ni nakala ngapi unaweza kutumia vizuri.

SWA9911T • SWAHILI • LIMITING THE UNLIMITED